FT: Esperance 0-0 Al Ahly | CAF Champions League Final | 1st Leg | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 18.05.2024

FT: Esperance 0-0 Al Ahly | CAF Champions League Final | 1st Leg | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 18.05.2024

Kwa mwenendo wa mechi jinsi ulivyo sidhani kama tutaona goli
Hapa hakuna goli, maana wote hawajui waufanyie nini mpira wafikapo kwenye final third.....

Fainali fani mpaka dk ya 80 hakuna hata shot on target?

yaani timu zote zimeonesha ubutu wa hali ya juu, halafu eti ndio wawakilishi wetu kwenye FIFA CLUB WORLD CUP hapo mwakani?
 
Sisi tutaendelea kuwa wasindikizaji, soka letu linachezwa kizamani sana kwasababu ya mifumo kama goli la ugenini
 
87'

Zakaria El Ayeb (Esperance Tunis) anafanikiwa kumpokonya mpinzani wake mpira, lakini anafanya faulo katika mchakato huo na mwamuzi anapuliza kipyenga.
 
90'

Mohamed Ben Hammouda (Esperance Tunis) akichukua nafasi ya Rodrigo Rodrigues.
 
90+1'

Hussein El Shahat (Al Ahly) anatoa shambulizi kali kutoka pembeni mwa eneo la hatari. Juhudi zake za hatari kuelekea kona ya chini kushoto zimefungwa na Aman Allah Memmiche, ambaye anaokoa mpira mzuri na kuuzuia mpira kutoka wavuni.
 
90+2'

Onuche Ogbelu (Esperance Tunis) akichukua nafasi ya Mohamed Ben Hamida.
 
Sisi tutaendelea kuwa wasindikizaji, soka letu linachezwa kizamani sana kwasababu ya mifumo kama goli la ugenini
Licha ya hivyo tu hata uwezo tu uwanjani bado tuna vitu vingi sana vya kujifunza....

Hapa ninapoangalia hii mechi, Tv ya pembeni kuna mechi ya serie A kati ya Torino na Ac milan ikiendelea.... yaani kuwaangalia tu hapa hata hawa Torino wanawazidi mbali sana hizi timu zetu za kiafrika.
 
Back
Top Bottom