FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

Camara akiwa anaokoa sana mashuti yatakayolenga lango na sisi tanzania tukashindwa kufuzu basi asibaki tanzania aende tu hukohuko kwao! Yani kapombe apge shuti alipangue,au mo hussein alafu badae uck aje kambini kutuambia nn sasa yan sisi (kapombe,mo hussein,manura,kazi) aje kambini anatuchekea sisi tunalia hiiiiii. Mazoezini nitahakikisha namfyatulia bonge la shuti aumie arudi kwao guinea mazima bora arejee ayub rakred na manura. Yani pona yake ni kutuachia tumpge magori matatu ndo ahueni yake dadeki!
 
Hii ndiyo inafanya watu tuichukie Taifa Stars
 
Attachments

  • FB_IMG_1731826414188.jpg
    FB_IMG_1731826414188.jpg
    46.6 KB · Views: 3
Camara akiwa anaokoa sana mashuti yatakayolenga lango na sisi tanzania tukashindwa kufuzu basi asibaki tanzania aende tu hukohuko kwao! Yani kapombe apge shuti alipangue,au mo hussein alafu badae uck aje kambini kutuambia nn sasa yan sisi (kapombe,mo hussein,manura,kazi) aje kambini anatuchekea sisi tunalia hiiiiii. Mazoezini nitahakikisha namfyatulia bonge la shuti aumie arudi kwao guinea mazima bora arejee ayub rakred na manura. Yani pona yake ni kutuachia tumpge magori matatu ndo ahueni yake dadeki!
Angetuachia tushinde tatizo akituachia sifa na shukran hatutompa yeye Bali bimkubwa wa tz ndo tutamsifu kwahyo camara ataki upuuzi nikudaka mpaka vumbi
 
Back
Top Bottom