FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

Kipindi cha pili
 
SIIPENDI TAIFA STAR sipendi sbb ya matendo ya ukatili utekaji mauaji unyasaji wa siasa.sina amani na nch yangu.yote haya sbb ya manyang,au wasio na huruma
Kazi ipo.
 
Wamekosa goli la wazi kabisa bwana
 
Naona wameona hawana Cha kupoteza, Bora wale posho tu. Ethiopia ndio Wana shirika la ndege Bora barani Afrika Linafika karibia kila sehemu, sioni sababu za wao kuwahi Kongo zaidi ya posho za safari.

But it is what it is! Bonge la advantage Kwetu Wabongo.
Hata mechi yao vs congo game ya kwanza ilipigwa mkapa
 
Wanatakiwa Wachezaji wa stars Wampelekee mpira Kibu....Kibu bado ana Energy ya Ziada..

Anawapelekesha mno...
 
Back
Top Bottom