FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

Hesabu za vidole ni hivi....

Tushinde mechi ya leo kwa namna yoyote

Guinea afungwe na Congo leo

Keshokutwa tumfunge Guinea

tunakuwa wa pili tunafuzu Afcon [emoji736]
Itakuwa hivyo
 
Kwanza kabisa nipende kuchukua nafasi kumshukuru mama samia
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Haya Sasa huku kwetu serikali ya akina MAFWELE na Samia wameshatukatia umeme sijui wanachokimaanisha ni nini hasa?

Hivi wangeacha hizo dk 90 zikaisha ndio wakate umeme wao, kinashindikana nini?

Kweli hili taifa haijawahi kuwa serious na jambo lolote lile
 
Back
Top Bottom