Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Wanakaza, Mamelodi waongeze umakiniNaona waarabu hawacheki na yeyote 😀😀😀 sema ndo vizuri yangekua yanaongoza mechi ingeboa sana
Watalia mno hii ni karata ya mwisho kwa bwana patrice kupeleka ubingwa nyumbani kabla hajaachia kitiWaarabu wanataka penati ya mchongo
Saa nyingine presha inakuwa kubwa kwaoMamelod asicheze sana kwenye half yake itamcost