Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
- Thread starter
- #41
39’ ASFAR wanapata goli kupitia mkwaju wa penati
Penalty nyepesi mnoASFAR wanapewa penatiii
Umeanza kuota mkuu😂😂Ahsante mokoena 😀😀😀😀
Msimu utakuja yanga
Anakuwaga ni mtu wa kupiga mikwajuHuyu mwanaume haswaaaaa Mokoena