Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Si unaona hizi attempt mbili 😀😀 hivyo ndo inatakiwa banaSaa nyingine presha inakuwa kubwa kwao
Si unaona hizi attempt mbili 😀😀 hivyo ndo inatakiwa banaSaa nyingine presha inakuwa kubwa kwao
Ila wanapelekewa moto sio poa😂Si unaona hizi attempt mbili 😀😀 hivyo ndo inatakiwa bana
Wanamuhadaa refa ili awape penatiRabat wanaumia mno wakiona muda unayoyoma 😀😀😀
Game itakuwa ngumu zaidi kwa wenyeji, maana Mamelodi atakuwa amepata goli la ugeniniSijui itakuwaje mamelod akitangulia kufunga
Mnooo, hawana mbinu nyingineJamaa wanatafuta penati kwa nguvu xotee dadekii
Sio penati hiyoo, hamna oenati hapo Jamaa inatakiwa ale kadi huyooVAR checking
HatariiiiSoka la Africa la kijinga sana.
Wanaume Senegal tu,hawataki ujinga