tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Aloo huo mjishutiiii.Anakuwaga ni mtu wa kupiga mikwaju
Kuna huyu Mbrazili Santos leo amepwaya sn
Aloo huo mjishutiiii.Anakuwaga ni mtu wa kupiga mikwaju
Hawatoboi haooHapo ndo pabaya 😂😂😂 rabat waje kushinda kamba 3 zingine
Huyo left back wa mamelod sio mbaya ila aache wenge 2nd half waende kifua mbeleMamelody wasipoweka mkazo kwenye viungo wakabaji na mabeki, watakula goli 3.
Kipindi cha pili hawa Rabat watakuja na spidi kama wendawazimu.
Muda bado sana lolote linaweza kutokeaMamelody hawabebi kombe, trust me
Unaleta ubishi tu mkuu, ASFAR wanatakiwa wafunge goal mbiliMamelody hawabebi kombe, trust me
Ni wapumbavu sana sijawahi kuona foward papatu papatu kama hii, wakishinda ni kwa bahati ila hakuna kituAnayeelewa Mamelod wabacheza nn aniambie