Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Rabat yuko serious na kombe hizi mbwa za xenophobia zinarukaruka tuuMbungi inayopigwa hapa si ya kitoto, wametoshana
Rabat yuko serious na kombe hizi mbwa za xenophobia zinarukaruka tuuMbungi inayopigwa hapa si ya kitoto, wametoshana
Penalty akisababisha kipa huwa inautata sana, kipa hajaangalia goli alikuwa anaokoa mpira jamaa akajichomekaIla maamuzi yanashangaza sn.Yule kaenda kumzuia golikipa
OyoooooooMamelody hawabebi kombe, trust me
Yeah, katumia staili ile ile.Jamaa alipiga penati kama ile ya kipindi cha kwanza
Kipa kamsoma kaicheza easy
Wangefunga ile penalty ingekuwa na maanaZinaongezwa dakika 8