FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Kocha afanye afanyavyo, hatutaki tena kumuona yule mduwanzi mzamiru.. Kagoma, okejepha na ngoma wanatufaa, debora Fernandez tayari namba yake anatembea nayo mfukoni.
Ngoma hataisaidia sana Simba SC, anauwezo ila Kasi hana
 
Hizi kamba sio za katani, ni kama sling za 200 tons.
 
Mjifunze sasa ya kuwa majungu hayajengi.
Yani hiyo ni kuonesha kuwa tunasema kile ambacho kweli tunakiona.

Akifanya vizuri anasifiwa, akifakisha lazima tumseme.

Nadhani hiyo ni tafsiri kwamba hatuna personal conflicts na mchezaji bali yeye mwenyewe anaweza kuchagua awe mchezaji mwenye sifa gani kwetu sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…