FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Al hilal Hawa Hawa Ambao hawana ligi yenye maana kutokana na Vita huko Sudan ndoo mnakuja kusema wamoto ...Cheza mechi zako ila timu yako baado haiko stable tuwape mda ila bado
Na hawajaanza leo kutokuwa na ligi

Unaikumbuka hii kitu?
Screenshot_20240831-164835.png
 
Kocha afanye afanyavyo, hatutaki tena kumuona yule mduwanzi mzamiru.. Kagoma, okejepha na ngoma wanatufaa, debora Fernandez tayari namba yake anatembea nayo mfukoni.
Ngoma hataisaidia sana Simba SC, anauwezo ila Kasi hana
 
Unaitwa MGAGANI ni dawa ya tiba izi.
1.Dawa ya kisukar
2.Dawa ya vidonda vya tumbo.
3.Dawa ya fangas sugu.
4.Dawa ya u.t.i sugu..
5.Dawa ya bawasira.
6.Dawa ya pumu.
7.Dawa ya kubana uke.
8.Dawa ya kufuta makovu mwilin.
9.Dawa ya kuweka mzunguko wa damu vzr.
DR Pdidy
Hizi kamba sio za katani, ni kama sling za 200 tons.
 
Mjifunze sasa ya kuwa majungu hayajengi.
Yani hiyo ni kuonesha kuwa tunasema kile ambacho kweli tunakiona.

Akifanya vizuri anasifiwa, akifakisha lazima tumseme.

Nadhani hiyo ni tafsiri kwamba hatuna personal conflicts na mchezaji bali yeye mwenyewe anaweza kuchagua awe mchezaji mwenye sifa gani kwetu sisi.
 
Back
Top Bottom