FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Yanga walicheza na Red Arrows juzi tu na Arrows walipewa red card. Kwa hiyo Yanga dhidi ya Vital'O walinunua mechi ile ya mashindano?
Hata wewe siku ile ulitoa kauli kuwa tulinunua au tuweke screenshot πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Al Hilal wanapata kona
 
Mechi ya kirafiki mpaka red card πŸ˜€ timu ipo pungufu ila mpaka sasa wazee wa mikimbio wanashindwa kupata hata ontarget moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ong bak hana muda hapo atafukuzwa, Mo dewji atuachie timu😑
 
bado wanasafar ndefu
 
Mechi ya kirafiki mpaka red card πŸ˜€ timu ipo pungufu ila mpaka sasa wazee wa mikimbio wanashindwa kupata hata ontarget moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ong bak hana muda hapo atafukuzwa, Mo dewji atuachie timu😑
Kumbuka hawa sio Vitalo
 
Hata wewe siku ile ulitoa kauli kuwa tulinunua au tuweke screenshot πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwa sitoagi macho kwenye mechi za kujipima kama hizi
... mpaka sasa wazee wa mikimbio wanashindwa kupata hata ontarget moja
Kwa hiyo hata goli lilikuwa off target? Inawezekana lugha inaleta usumbufu humu
 
Kwennye ligi yao hao hilal ni wa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…