FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Yanga walicheza na Red Arrows juzi tu na Arrows walipewa red card. Kwa hiyo Yanga dhidi ya Vital'O walinunua mechi ile ya mashindano?
Hata wewe siku ile ulitoa kauli kuwa tulinunua au tuweke screenshot 😁😂😂😂
 
Mechi ya kirafiki mpaka red card 😀 timu ipo pungufu ila mpaka sasa wazee wa mikimbio wanashindwa kupata hata ontarget moja 😂😂😂 Ong bak hana muda hapo atafukuzwa, Mo dewji atuachie timu😡
 
bado wanasafar ndefu
 
Mechi ya kirafiki mpaka red card 😀 timu ipo pungufu ila mpaka sasa wazee wa mikimbio wanashindwa kupata hata ontarget moja 😂😂😂 Ong bak hana muda hapo atafukuzwa, Mo dewji atuachie timu😡
Kumbuka hawa sio Vitalo
 
Kwennye ligi yao hao hilal ni wa ngapi?
 
Back
Top Bottom