FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Kocha SIMBA ana mbinu dhaifu sana namna ya kuifungua defence....MECHI zake nimeona penettalration chache sana ...ni kama wachezaji wanakimbia zaidi nje ya D ya mpinzani..m
 
Huwa sitoagi macho kwenye mechi za kujipima kama hizi

Kwa hiyo hata goli lilikuwa off target? Inawezekana lugha inaleta usumbufu humu
Ungekataa ningeweka risiti zakoπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamtoe wapi🀣
Ndio hapo sasa

Sisi na wazee wapi na wapi

Angalia tu umri wa Aucho naskia tayari huko mashuleni watoto washaanza kupewa hesabu zake

Aucho kiumri kamzidi hadi Fadlu maana Fadlu anacheza kwenye 36
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…