FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Yaani tunafungwa na timu pungufu? Mo anasajili marastafarai amesikia hiki ni kikundi cha Raggae? Mo atuachie timu yetu huyu Ong bak akatafute changamoto kwingine
 
Yaani tunafungwa na timu pungufu? Mo anasajili marastafarai amesikia hiki ni kikundi cha Raggae? Mo atuachie timu yetu huyu Ong bak akatafute changamoto kwingine
Dirisha dogo tuachane na hawa
Okejepha
Mukwala
Mutale
Ahoua
Ateba
Debora
 
Dirisha dogo tuachane na hawa wachezaji
Mutale
Mukwala
Okejepha
Ahoua
Debora
Ateba

Hamna wachezaji humu! Mara mia kina Saidoo

Hizi ndio mbinu za Utopolo...!

Kujifanya mnawabeza Wachezaji wa Mnyama huku mnawatamani.

Angalia mlivyojaza Vizee vya Simba kwenye timu yenu mwaka huu..!

Safari hii ngadu kwa ngadu...!
Ubaya Ubwela..!
Hatuchezi ngoma yenu..! Haachwi mtu.!
 
Mpaka unafika fainali ulicheza na nani?

Bamako?

Au Rivers ambayo mlipopangiwa mkaanza kupiga makofi kufurahia?
 
Yaani tunafungwa na timu pungufu? Mo anasajili marastafarai amesikia hiki ni kikundi cha Raggae? Mo atuachie timu yetu huyu Ong bak akatafute changamoto kwingine
Dirisha dogo tuachane na hawa
Okejepha
Mukwala
Mutale
Ateba
Debora
We Yanga hangaikeni ya Majini FC
 
Simba ili ifuzu hatua ya makundi shirikisho inatakiwa wakusanye waganga wote wa Tanzania wawasaidie vinginevyo naiona aibu mapema sana, mechi hizi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana but silioni hilo kwa uyu kocha wa Simba ni mweupe sana kimbinu, Al ahli tripoli ni timu ya kawaida sana lakini kwa namna ninavyoona uchezaji wa Simba Kuna kazi wanatakiwa waifanye bado wako ovyo sana wasijipe matumaini hewa!
 
Hatuna Timu hapa.....

inachobaki sasa Simba tuache kusajili wachezaji kabisa, sasa tusajili waganga kabisa waje wenyewe kucheza.
Nimesikitika sana. Ong bak hamna kocha pale, Mukwala ni jobe bila mikimbio. Ahoua ni saido mzubaifu. Mo anasajili waimba reggae.Bora atuachie timu
 
Yanga haitafuzu makundi mwaka huu. Chukua maneno yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…