FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Yaani tunafungwa na timu pungufu? Mo anasajili marastafarai amesikia hiki ni kikundi cha Raggae? Mo atuachie timu yetu huyu Ong bak akatafute changamoto kwingine
Dirisha dogo tuachane na hawa
Okejepha
Mukwala
Mutale
Ahoua
Ateba
Debora
 
20240831_181625.jpg
Mechi ya kirafiki ila bado bus la wachezaji likaingia kinyume nyume. GSM kazi anayo msimu huu. 😂😂😂

CC adriz Evelyn Salt ephen_ Carleen MwananchiOG Mr Q
 
Dirisha dogo tuachane na hawa wachezaji
Mutale
Mukwala
Okejepha
Ahoua
Debora
Ateba

Hamna wachezaji humu! Mara mia kina Saidoo

Hizi ndio mbinu za Utopolo...!

Kujifanya mnawabeza Wachezaji wa Mnyama huku mnawatamani.

Angalia mlivyojaza Vizee vya Simba kwenye timu yenu mwaka huu..!

Safari hii ngadu kwa ngadu...!
Ubaya Ubwela..!
Hatuchezi ngoma yenu..! Haachwi mtu.!
 
Tumecheza na wa 200 kwa UBORA vipi wewe ulifika wapi kombe la shirikisho na klabu bingwa? Wenzako wamecheza fainali kombe la shirikisho msimu juzi, wakarudi msimu jana wakacheza robo fainali klabu bingwa na kutolewa kwa figisu na mamelod na wewe ilikuwa wapi mda huo? Yanga Kila timu atayocheza nayo itaonekana mbovu kulingana na daraja aliloliweka kwa sasa, ngoja tuone mtafika wapi kwenye ilo kombe la looser msimu huu
Mpaka unafika fainali ulicheza na nani?

Bamako?

Au Rivers ambayo mlipopangiwa mkaanza kupiga makofi kufurahia?
 
Yaani tunafungwa na timu pungufu? Mo anasajili marastafarai amesikia hiki ni kikundi cha Raggae? Mo atuachie timu yetu huyu Ong bak akatafute changamoto kwingine
Dirisha dogo tuachane na hawa
Okejepha
Mukwala
Mutale
Ateba
Debora
We Yanga hangaikeni ya Majini FC
 
Simba ili ifuzu hatua ya makundi shirikisho inatakiwa wakusanye waganga wote wa Tanzania wawasaidie vinginevyo naiona aibu mapema sana, mechi hizi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana but silioni hilo kwa uyu kocha wa Simba ni mweupe sana kimbinu, Al ahli tripoli ni timu ya kawaida sana lakini kwa namna ninavyoona uchezaji wa Simba Kuna kazi wanatakiwa waifanye bado wako ovyo sana wasijipe matumaini hewa!
 
Hatuna Timu hapa.....

inachobaki sasa Simba tuache kusajili wachezaji kabisa, sasa tusajili waganga kabisa waje wenyewe kucheza.
Nimesikitika sana. Ong bak hamna kocha pale, Mukwala ni jobe bila mikimbio. Ahoua ni saido mzubaifu. Mo anasajili waimba reggae.Bora atuachie timu
 
Simba ili ifuzu hatua ya makundi shirikisho inatakiwa wakusanye waganga wote wa Tanzania wawasaidie vinginevyo naiona aibu mapema sana, mechi hizi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana but silioni hilo kwa uyu kocha wa Simba ni mweupe sana kimbinu, Al ahli tripoli ni timu ya kawaida sana lakini kwa namna ninavyoona uchezaji wa Simba Kuna kazi wanatakiwa waifanye bado wako ovyo sana wasijipe matumaini hewa!
Yanga haitafuzu makundi mwaka huu. Chukua maneno yangu
 
Back
Top Bottom