vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Uzuri msimu ukianzaga huwa kuna upofu ila msimu ukikaribia kuisha tunashuhudia kocha katimuliwaWanaotoa maoni wote huku ni Yanga ambao wanaingiwa na woga sanaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri msimu ukianzaga huwa kuna upofu ila msimu ukikaribia kuisha tunashuhudia kocha katimuliwaWanaotoa maoni wote huku ni Yanga ambao wanaingiwa na woga sanaaaaa
We Yanga tunakujuaYaani tunafungwa na timu pungufu? Mo anasajili marastafarai amesikia hiki ni kikundi cha Raggae? Mo atuachie timu yetu huyu Ong bak akatafute changamoto kwingine
Ngoja tutolewe na Tripoli ndo akili itakuludiMbona simba hawalalamki? We ni nani Mpaka uanze kukosoa?
Bora kichuya sio timu iliyotoka vitani na haina ligi yyt tena iko pungufuKichuya aliwafanya nini?
Tena two times
We Yanga hangaikeni ya Majini FCNgoja tutolewe na Tripoli ndo akili itakuludi
We Yanga hangaikeni ya Majini FCBora kichuya sio timu iliyotoka vitani na haina ligi yyt tena iko pungufu
Dirisha dogo tuachane na hawa wachezaji
Mutale
Mukwala
Okejepha
Ahoua
Debora
Ateba
Hamna wachezaji humu! Mara mia kina Saidoo
Mpaka unafika fainali ulicheza na nani?Tumecheza na wa 200 kwa UBORA vipi wewe ulifika wapi kombe la shirikisho na klabu bingwa? Wenzako wamecheza fainali kombe la shirikisho msimu juzi, wakarudi msimu jana wakacheza robo fainali klabu bingwa na kutolewa kwa figisu na mamelod na wewe ilikuwa wapi mda huo? Yanga Kila timu atayocheza nayo itaonekana mbovu kulingana na daraja aliloliweka kwa sasa, ngoja tuone mtafika wapi kwenye ilo kombe la looser msimu huu
Tumeshinda njaa. Wachezaji 10 wametupigisha kwata 😂Hivi SIMBA tumeshinda tukiwa pungufu?
We Yanga hangaikeni ya Majini FCYaani tunafungwa na timu pungufu? Mo anasajili marastafarai amesikia hiki ni kikundi cha Raggae? Mo atuachie timu yetu huyu Ong bak akatafute changamoto kwingine
Dirisha dogo tuachane na hawa
Okejepha
Mukwala
Mutale
Ateba
Debora
We Yanga hangaikeni ya Majini FCHivi SIMBA tumeshinda tukiwa pungufu?
We Yanga hangaikeni na Majini FCTumeshinda njaa. Wachezaji 10 wametupigisha kwata 😂
Mimi 5imba lia liaWe Yanga hangaikeni ya Majini FC
Nimesikitika sana. Ong bak hamna kocha pale, Mukwala ni jobe bila mikimbio. Ahoua ni saido mzubaifu. Mo anasajili waimba reggae.Bora atuachie timuHatuna Timu hapa.....
inachobaki sasa Simba tuache kusajili wachezaji kabisa, sasa tusajili waganga kabisa waje wenyewe kucheza.
Yanga haitafuzu makundi mwaka huu. Chukua maneno yanguSimba ili ifuzu hatua ya makundi shirikisho inatakiwa wakusanye waganga wote wa Tanzania wawasaidie vinginevyo naiona aibu mapema sana, mechi hizi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana but silioni hilo kwa uyu kocha wa Simba ni mweupe sana kimbinu, Al ahli tripoli ni timu ya kawaida sana lakini kwa namna ninavyoona uchezaji wa Simba Kuna kazi wanatakiwa waifanye bado wako ovyo sana wasijipe matumaini hewa!