FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Chasambi kacheza rafu kwa rasta man wa Al Hilal
 
Simba inacheza rafu nyingi
 
06'

Yusuphu Kagoma kapokea kadi ya njano baada ya kumchezea rafu mbaya El Haj
 
Simba inajaribu kufanya shambulizi lakini Al Hilal wanakaa imara
 
Watu refa! refa! refa!
 
Manula anacheza hecko hala baada ya shambulio la hatari kufanywa na Al Hilal
 
Back
Top Bottom