FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Simba ya mwaka huu lazima itoka na kikombe japo kimoja
Labda kikombe cha maji mtapata na sio kikombe cha ligi kuu au fa, hao al hilal Awana ata ligi wanayoshiriki tokea mwaka jana kutokana na machafuko imekuwa timu ya kutangatanga tu na baadhi ya wachezaji wao wameondoka kutokana na iyo hali akiwemo yule mghana Ibrahim imoro aliyeko singida kwa sasa, ivyo uwezi kuchukua mechi ya al hilal hii kuongea maneno mengi ni timu dhaifu kwa sasa ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa imekamilika aswaa sio mchezo
 
Lakini Vitalo wana ligi.

Kwa hiyo kwa upeo wako unaona Vitalo na Al Hilal, Vitalo ni bora?
 
Labda kikombe cha maji mtapata na sio kikombe cha ligi kuu au fa, hao al hilal Awana ata ligi wanayoshiriki tokea mwaka jana kutokana na machafuko imekuwa timu ya kutangatanga tu na baadhi ya wachezaji wao wameondoka kutokana na iyo hali akiwemo yule mghana Ibrahim imoro aliyeko singida kwa sasa, ivyo uwezi kuchukua mechi ya al hilal hii kuongea maneno mengi ni timu dhaifu kwa sasa ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa imekamilika aswaa sio mchezo
Hao hao Al hilal unaowabeza waliowahi kuwatoa nyie utopolo kipindi machafuko yameanza, walifika robo fainali ya CAFCL msimu uliopita sawa na timu Yako inayocheza kila siku.
 
Kipindi cha pili kinatarajiwa kuanza sekunde chache zijazo
 
Kwa iyo vitalo alishika nafasi ya tatu ndo akashiriki klabu bingwa?
Hujui mpira wewe.

Kuongoza ligi ambayo ni ya 200 kwenye viwango vya ubora ni upuuzi ku compete na top 3 wa ligi namba 5

Ligi ya burundi kwa ushindani haiwezi hata kuifikia Championship yetu.
 
Al Hilal wanashambulia lango letu
 
Hao hao Al hilal unaowabeza waliowahi kuwatoa nyie utopolo kipindi machafuko yameanza, walifika robo fainali ya CAFCL msimu uliopita sawa na timu Yako inayocheza kila siku.
Ilikuwa yanga ya namna Gani na ilikuwa al hilal ya nanna Gani? Yanga alitolewa kwa mbinde wakati huo ndo ilikuwa imefanya usajili mkubwa awakuwa na muunganiko, na al hilal Ile ilikuwa ni ya moto sio hii mdebwedo imekimbiwa mpaka na wachezaji wake muhimu wengi, ivyo usifananishe na kulinganisha vitu labda limebaki jina tu la al hilal na sio timu
 
48'

Kibu anachezewa faulo ni freekick tunapata eneo la nje kidogo ya 18
.
 
Yani hiyo ni kuonesha kuwa tunasema kile ambacho kweli tunakiona.

Akifanya vizuri anasifiwa, akifakisha lazima tumseme.

Nadhani hiyo ni tafsiri kwamba hatuna personal conflicts na mchezaji bali yeye mwenyewe anaweza kuchagua awe mchezaji mwenye sifa gani kwetu sisi.
Mashabiki mkiamua lenu bhana....
 
Back
Top Bottom