Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 1,770
- 3,552
Lile la Muungano linqwafaaSimba ya mwaka huu lazima itoka na kikombe japo kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile la Muungano linqwafaaSimba ya mwaka huu lazima itoka na kikombe japo kimoja
Labda kikombe cha maji mtapata na sio kikombe cha ligi kuu au fa, hao al hilal Awana ata ligi wanayoshiriki tokea mwaka jana kutokana na machafuko imekuwa timu ya kutangatanga tu na baadhi ya wachezaji wao wameondoka kutokana na iyo hali akiwemo yule mghana Ibrahim imoro aliyeko singida kwa sasa, ivyo uwezi kuchukua mechi ya al hilal hii kuongea maneno mengi ni timu dhaifu kwa sasa ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa imekamilika aswaa sio mchezoSimba ya mwaka huu lazima itoka na kikombe japo kimoja
Lakini Vitalo wana ligi.Labda kikombe cha maji mtapata na sio kikombe cha ligi kuu au fa, hao al hilal Awana ata ligi wanayoshiriki tokea mwaka jana kutokana na machafuko imekuwa timu ya kutangatanga tu na baadhi ya wachezaji wao wameondoka kutokana na iyo hali akiwemo yule mghana Ibrahim imoro aliyeko singida kwa sasa, ivyo uwezi kuchukua mechi ya al hilal hii kuongea maneno mengi ni timu dhaifu kwa sasa ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa imekamilika aswaa sio mchezo
Kikombe kipi labda cha kahawa au cha maji? Mnaona mmekamilika sio🤣🤣Hii simba vikombe kutua msimbazi lazima
Hao hao Al hilal unaowabeza waliowahi kuwatoa nyie utopolo kipindi machafuko yameanza, walifika robo fainali ya CAFCL msimu uliopita sawa na timu Yako inayocheza kila siku.Labda kikombe cha maji mtapata na sio kikombe cha ligi kuu au fa, hao al hilal Awana ata ligi wanayoshiriki tokea mwaka jana kutokana na machafuko imekuwa timu ya kutangatanga tu na baadhi ya wachezaji wao wameondoka kutokana na iyo hali akiwemo yule mghana Ibrahim imoro aliyeko singida kwa sasa, ivyo uwezi kuchukua mechi ya al hilal hii kuongea maneno mengi ni timu dhaifu kwa sasa ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa imekamilika aswaa sio mchezo
Mbona unazidi kurudi nyuma? Tuwekee current results mzee. Mimi nazungumzia 2023 kuja hadi 2024 wewe unaleta tukio la muongo mmoja uliopita. Yaani unaleta jambo la miaka 10 nyuma.Ukisema tuanze kuzungumzia maboa ya plastiki ambayo hayaozi hatutafika muafaka
View attachment 3083587
Kwa iyo vitalo alishika nafasi ya tatu ndo akashiriki klabu bingwa?Lakini Vitalo wana ligi.
Kwa hiyo kwa upeo wako unaona Vitalo na Al Hilal, Vitalo ni bora?
Hujui mpira wewe.Kwa iyo vitalo alishika nafasi ya tatu ndo akashiriki klabu bingwa?
Mwambie aweke video ya magoli na sisi tuweke za kwetu ya max na pacome Cc ephen_Mbona unazidi kurudi nyuma? Tuwekee current results mzee. Mimi nazungumzia 2023 kuja hadi 2024 wewe unaleta tukio la muongo mmoja uliopita. Yaani unaleta jambo la miaka 10 nyuma.
Kwani hao alikuja nao ni wa timu gani?Ibenge anaaanza kujitetea mapema eti wachezaji wake zaidi ya 12 hawapo
Who cares??
Ilikuwa yanga ya namna Gani na ilikuwa al hilal ya nanna Gani? Yanga alitolewa kwa mbinde wakati huo ndo ilikuwa imefanya usajili mkubwa awakuwa na muunganiko, na al hilal Ile ilikuwa ni ya moto sio hii mdebwedo imekimbiwa mpaka na wachezaji wake muhimu wengi, ivyo usifananishe na kulinganisha vitu labda limebaki jina tu la al hilal na sio timuHao hao Al hilal unaowabeza waliowahi kuwatoa nyie utopolo kipindi machafuko yameanza, walifika robo fainali ya CAFCL msimu uliopita sawa na timu Yako inayocheza kila siku.
Mashabiki mkiamua lenu bhana....Yani hiyo ni kuonesha kuwa tunasema kile ambacho kweli tunakiona.
Akifanya vizuri anasifiwa, akifakisha lazima tumseme.
Nadhani hiyo ni tafsiri kwamba hatuna personal conflicts na mchezaji bali yeye mwenyewe anaweza kuchagua awe mchezaji mwenye sifa gani kwetu sisi.