FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Valentino Nouma jaribuo lake la freekick linazuiwa na mlinda mlango wa Al Hilal
 
Mbona unazidi kurudi nyuma? Tuwekee current results mzee. Mimi nazungumzia 2023 kuja hadi 2024 wewe unaleta tukio la muongo mmoja uliopita. Yaani unaleta jambo la miaka 10 nyuma.
Unajua maana ya current?

Ukizungumzia Current ni Simba 1-0 Al Hilal game on

Hiyo ndio current
 
Hujui mpira wewe.

Kuongoza ligi ambayo ni ya 200 kwenye viwango vya ubora ni upuuzi ku compete na top 3 wa ligi namba 5

Ligi ya burundi kwa ushindani haiwezi hata kuifikia Championship yetu.
Acha upuuzi wewe Mpira unachezwa hadharani al hilal hii ndo uwaweke na vitalo watatoka awa? Hizo rank za top 3 zimebaki kama kichaka chenu kwa sasa leta current performance ya sasa ikoje?
 
Acha upuuzi wewe Mpira unachezwa hadharani al hilal hii ndo uwaweke na vitalo watatoka awa? Hizo rank za top 3 zimebaki kama kichaka chenu kwa sasa leta current performance ya sasa ikoje?
Mpira unaujua?

Nitajie wale Vitalo ligi yao ni ya ngapi?

Hapo tusipigie hesabu na mlivyocheza wakiwa outnumbered

Mmecheza na timu ya 200 kwa ubora halafu pamoja na hilo wao wako watatu uwanjani then mnatamba
 
Makolo wajinga sana Hadi mechi za kirafiki wananunua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga walicheza na Red Arrows juzi tu na Arrows walipewa red card. Kwa hiyo Yanga dhidi ya Vital'O walinunua mechi ile ya mashindano?
 
Pamoja na ubovu wa kibu dennis, lakini huwa na afadhali zaidi na zaidi akicheza upande wa kuliko kutokea kushoto.. Upande wa kushoto kibu anakuwa mbovu mara 3 yake. Upande wa kulia kibu huwa anatoa kitu.
 
Back
Top Bottom