Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya current?Mbona unazidi kurudi nyuma? Tuwekee current results mzee. Mimi nazungumzia 2023 kuja hadi 2024 wewe unaleta tukio la muongo mmoja uliopita. Yaani unaleta jambo la miaka 10 nyuma.
Acha upuuzi wewe Mpira unachezwa hadharani al hilal hii ndo uwaweke na vitalo watatoka awa? Hizo rank za top 3 zimebaki kama kichaka chenu kwa sasa leta current performance ya sasa ikoje?Hujui mpira wewe.
Kuongoza ligi ambayo ni ya 200 kwenye viwango vya ubora ni upuuzi ku compete na top 3 wa ligi namba 5
Ligi ya burundi kwa ushindani haiwezi hata kuifikia Championship yetu.
Kabisa hilo lipo waziSimba ya mwaka huu lazima itoka na kikombe japo kimoja
Mpira unaujua?Acha upuuzi wewe Mpira unachezwa hadharani al hilal hii ndo uwaweke na vitalo watatoka awa? Hizo rank za top 3 zimebaki kama kichaka chenu kwa sasa leta current performance ya sasa ikoje?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Kibu huwa anaingia mle kufanya nini, mbali na kupush watu
Yanga walicheza na Red Arrows juzi tu na Arrows walipewa red card. Kwa hiyo Yanga dhidi ya Vital'O walinunua mechi ile ya mashindano?Makolo wajinga sana Hadi mechi za kirafiki wananunua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]