MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
5imba wanakalia Bomba na hapo wapo pungufu 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa
Sisi na wazee wapi na wapi
Angalia tu umri wa Aucho naskia tayari huko mashuleni watoto wa ashaanza kupewa hesabu zake
Aucho kiumri kamzidi hadi Fadlu maana Fadlu anacheza kwenye 36
hahahPeke yako au na mwiko?
82Oya mazee dakika ya ngapi uko?
Nimevuta bangi apa namsikilizia bro akija nisepe apa kwake asinikute....anacheki mechi saizi.
Naunga mkono hoja 🤣 😁 😁 😁 😁 😁Mke mwenza wa AZAM anarukaruka tu. Sisi wanaume tupo kijiweni tunakunywa alkasusu tunasubiri kupeleka moto tu tukikutana na hawa wanawake
Anaingia kufanya niniHuseni Kazi ametoka
Duchu anaingia