MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Timu ipo pungufu lakini inawakimbiza vijana wa Ong bak😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Unaitwa MGAGANI ni dawa ya tiba izi.
1.Dawa ya kisukar
2.Dawa ya vidonda vya tumbo.
3.Dawa ya fangas sugu.
4.Dawa ya u.t.i sugu..
5.Dawa ya bawasira.
6.Dawa ya pumu.
7.Dawa ya kubana uke.
8.Dawa ya kufuta makovu mwilin.
9.Dawa ya kuweka mzunguko wa damu vzr.
DR Pdidy
Dah nimekosa hii mechi, ila Simba imejitahidi sana mpaka hapo maana nasikia wachezaji wa Simba wapo pungufu.Dakika ya 86'
Matokeo bado ni 1-1
Nitatoa mikate ya supa lofu na keki kutoka mbeya kwa Kila mwanasimba 😎😎😎Chai
Dah mikate ya super loaf ni milaini sana halafu ina radha fulani hivi hata blueband haina hajaNitatoa mikate ya supa lofu na keki kutoka mbeya kwa Kila mwanasimba [emoji41][emoji41][emoji41]
Naunga mkono hoja hii Ahadi naitimiza wakifika fainali kule shirikishoDah mikate ya super loaf ni milaini sana halafu ina radha fulani hivi hata blueband haina haja
Ukitaka kujua jamaa ni mbovu sana fatilia ile game wanetu waliokula kimoko Chali jamaa alikuwa anakimbia kama mende 😁🤣😁😁😁😁Mukwala ni Jobe bila mikimbio 😀