FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

[emoji881]
[emoji3590][emoji833][emoji170]
Hallah
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sawa sawa
20240801_150533.jpg

Msisahu kutuma video za magoli
😁😂😂😂😂😂😁😁😁
 
Kacheze wewe

Match Ilikuwa nzuri sanaaaa. Vijana wengi hawajacheza match za ushindani. Wamejitahidi sanaaa. Team Ina mwezi mmoja tu
Kwahyo kama ina mwezi mmoja ndo tufanyeje, Timu huwa inasajili wachezaji ili wawasubiri kuonyesha vipaji vyao ?
 
Mpira unaujua?

Nitajie wale Vitalo ligi yao ni ya ngapi?

Hapo tusipigie hesabu na mlivyocheza wakiwa outnumbered

Mmecheza na timu ya 200 kwa ubora halafu pamoja na hilo wao wako watatu uwanjani then mnatamba
Tumecheza na wa 200 kwa UBORA vipi wewe ulifika wapi kombe la shirikisho na klabu bingwa? Wenzako wamecheza fainali kombe la shirikisho msimu juzi, wakarudi msimu jana wakacheza robo fainali klabu bingwa na kutolewa kwa figisu na mamelod na wewe ilikuwa wapi mda huo? Yanga Kila timu atayocheza nayo itaonekana mbovu kulingana na daraja aliloliweka kwa sasa, ngoja tuone mtafika wapi kwenye ilo kombe la looser msimu huu
 
Back
Top Bottom