Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini?
Game halisi si walipigwa na Yanga,au unasemea alizocheza na under 20 ya Tabora na timu B ya Fountain gateFadlu mjanja sana kwenye mechi za kirafiki anavunga hana team nzuri ikija game halisi anakiwasha balaa
Yes kama mama Yako mkuuKama mama ako?
Hakuna kitu 😹😹Kuna nini?
Return from Kenenge, Kigali
Timu namba 7 Kwa ubora Afrika halafu kuna MTU anadai hakuna timu. Madhara ya supu za makafara unaona kinyume nyume.Yaani utopwinyo kazi Yao kusema "hapa hakuna timu" ila Kila siku wanatamani kusajili wachezaji wa Simba.
Sisi ni nanba 6 kwa ubora Africa. Ninyi na VitalO mko namba gani?Vital o na nyie mna tofauti gani?
Nilikuwa uwanjani ndo natoka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aiseeeeNilikuwa uwanjani ndo natoka.
Kombe kabatini linaitwa sare friendly match. Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya janja2 sana Mwamedi kanjibai Glazerbhai.
Mmezoea ulozi ndio maana mnawaza waganga.Simba ili ifuzu hatua ya makundi shirikisho inatakiwa wakusanye waganga wote wa Tanzania wawasaidie vinginevyo naiona aibu mapema sana, mechi hizi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana but silioni hilo kwa uyu kocha wa Simba ni mweupe sana kimbinu, Al ahli tripoli ni timu ya kawaida sana lakini kwa namna ninavyoona uchezaji wa Simba Kuna kazi wanatakiwa waifanye bado wako ovyo sana wasijipe matumaini hewa!
Unataka wakaze hata friendly match kweli?Wachezaji hawana uchungu na Timu namshauri boss Mo atusajili sisi mashabiki tukachezee timu yetu ili kuleta chachu ya mabadiliko.
Timu gani tena itengenezwe wakati imeshakamilika?Hii timu na wachezaji sio wabaya Ila tujiulize kocha tuliyenaye ana uwezo wa kutengeneza timu, si Kila kocha anaweza kutengeneza timu.
UTOPOLO wanawajua vizuriHii ni mechi ya kirafiki Hao Jamaa wanacheza usikute wameweka ata watoto 😁 Al hilal ni balaa
Utatukanwa hapo kuna wana uto wawili hahahahha😃🤣🤣🤣