FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Fadlu mjanja sana kwenye mechi za kirafiki anavunga hana team nzuri ikija game halisi anakiwasha balaa
 
Simba ili ifuzu hatua ya makundi shirikisho inatakiwa wakusanye waganga wote wa Tanzania wawasaidie vinginevyo naiona aibu mapema sana, mechi hizi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana but silioni hilo kwa uyu kocha wa Simba ni mweupe sana kimbinu, Al ahli tripoli ni timu ya kawaida sana lakini kwa namna ninavyoona uchezaji wa Simba Kuna kazi wanatakiwa waifanye bado wako ovyo sana wasijipe matumaini hewa!
Mmezoea ulozi ndio maana mnawaza waganga.
 
Hii timu na wachezaji sio wabaya Ila tujiulize kocha tuliyenaye ana uwezo wa kutengeneza timu, si Kila kocha anaweza kutengeneza timu.
 
Back
Top Bottom