maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Unawaonaje hao watu Yanga atachomoka kweli?Hii mechi nilitegemea ntakua hapo sema Agent kanicheleweshea documents za border wacha nichunge ingawaje hapa na Gabs unaweza kwenda na kurudi siku hiyo hiyo..
ZoteLigi kuu au champion league?
Wabishi sana na wanashambulia kwa kushtukiza wana winga wao mmoja wa kulia ni mtata sana sema tunawatoa tu hawawezi kushika bomba mechi zote mbili.Unawaonaje hao watu Yanga atachomoka kweli?
NARUDIA TENAWabishi sana na wanashambulia kwa kushtukiza wana winga wao mmoja wa kulia ni mtata sana sema tunawatoa tu hawawezi kushika bomba mechi zote mbili.
Wewe utakuwa ni shabiki wa mbumbumbu fc bila shaka yoyote ile. Haya muda ni saa mbili kamili usiku.Game saa ngapi Mkuu?
Tuone NIBEBE akihangaika huko Botswana no Kayoko no Arajiga
Sawa sawa kamanda wa Jhb ni saa moja ntaangalia hii gemu nione kocha ataingia na mguu gani.
Ulaya hiyo gemu unaenda na treni na unarudi gemu ikiisha au ndege sasa Afrika unapanga safari kweli..Mapema tu.
Ila Africa usafiri wakuunganisha hili bara ni kiboko haswa
Bila shaka wewe ni Kolo 🤣🤣🤣Unaota
NImekuelewa tajiri Muda utaongeaWabishi sana na wanashambulia kwa kushtukiza wana winga wao mmoja wa kulia ni mtata sana sema tunawatoa tu hawawezi kushika bomba mechi zote mbili.