black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Kila lakheri azamπKitoke wapppi. π€£π€£
Pole sana Mtani.Hahaha mtani mimi mbona nipo, wewe ndio umepotea Hata kwenye nyuzi za yanga siku hizi sikuoni, yani simba inanivuruga mtani acha tu ππ
π€£π€£Sokoni
Hapa lengo letu Makolo wacheze lile kombe waliloliitaga la looser. πKila lakheri azamπ
Nani mfungaji?Geita ndio wanashuka hivyo
Mchezaji anaitwa Mandoza.Nani kafunga?
Weka basi takwimu za Simba kukuvuruga πHahaha mtani mimi mbona nipo, wewe ndio umepotea Hata kwenye nyuzi za yanga siku hizi sikuoni, yani simba inanivuruga mtani acha tu ππ
Kama siyo Fei Toto sawa tu mpendwa! Safi sana! ππππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈMchezaji anaitwa Mandoza.
Aahh tukiendelea na Viongozi hawa tusahau tu mtani, yani sisi leo ni wa kusubiri geita atuokoe kweli, tumeshindwa kushinda mechi zetu tunategemea timu nyingine ndio iamue mustakabali wetu π’π’Pole sana Mtani.
Natumai msimu wa 2024/2025 mtakuja mkiwa wapya. π
Kamati ya roho mbaya tunafatilia kwa karibuKama siyo Fei Toto sawa tu mpendwa! Safi sana! ππππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Nani kafungaaFei huyu
FeiNani kafungaa
πkombe la luzaaaaaa linawahusu sijui nalo litakuwa mwakaroboHapa lengo letu Makolo wacheze lile kombe waliloliitaga la looser. π