Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Haha sijawahi kuona mashabiki mandazi kama wa mikia...Sweetheart, roho ya Simba Chama anatolewa.
Tutegemee maandamano kupinga hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha sijawahi kuona mashabiki mandazi kama wa mikia...Sweetheart, roho ya Simba Chama anatolewa.
Tutegemee maandamano kupinga hili.
Baadae mkajadili majini ya MayeleKama Simba wamekosa mbinu za kufunga. Basi wafungwe ili akili ziwarudie
Yapo Mambo ukiyafanya yanaidhalilisha Forum.....! Hili ni mojawapoGoooaaaaaallllll
Simba wanapiga goli la 5
Mayele anasema anapigwa misumari
Khaaaa. 😂😂Kama Simba wamekosa mbinu za kufunga. Basi wafungwe ili akili ziwarudie
PoleYapo Mambo ukiyafanya yanaidhalilisha Forum.....! Hili ni mojawapo
Sahivi mmeanza kulaumu majini [emoji16]Usikute pale Kanuti kapaishiwa na jini la Yanga. Sio pa kukosa pale
Mie nakusalimia tu Mtani. 😀Kila la heri mnyama, hivi ile mechi yetu ya kiporo ndio hii, au itakuwa na timu gani
Ndio maana Chama haishi kuwafanyia vituko, anajua kiasi gani wanamzimia kuanzia viongozi hadi mashabiki.Haha sijawahi kuona mashabiki mandazi kama wa mikia...
Kama mayele tu leo analia mnatupia majini ukiachwa achikaNdio maana Chama haishi kuwafanyia vituko, anajua kiasi gani wanamzimia kuanzia viongozi hadi mashabiki.
Haha mtani Hali mbaya kama mpaka Geita wanatutoa Jasho hivi [emoji2][emoji2]Mie nakusalimia tu Mtani. [emoji3]
Mayele nimemdharau sana leo, ile heshima aliyoiacha kaondoka nayo.Kama mayele tu leo analia mnatupia majini ukiachwa achina