FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

Dah afadhali aisee mana hizi mechi hua tunacheza na timu husika, marefa, gongowazi, na mwishowe MAJINI...
Simba imepigwa 'majini' miaka mitatu ndio maana mzungu WA Dula anamsihi mkongo afute Kauli. Uzuri ulozi ukishajulikana ndio mwisho wake.😁
 
Hadi Papaa Omary wa Njombe nae kashatupiwa kajini mnyauko Yanga hawa hatari sana..
 
Baada ya jini kutoka chumaaaa kambani kudadek tumefulusha majini ovyo ovyo aya elewi goli limeingia vpi dawa inazdi kuchemka.
 
Sasa hivi ukikutana na shabiki yoyote wa Yanga unamwita "Jini"
?
Screenshot_20240212_113039_Samsung%20Internet.jpg
 
Ila wajeda bwana, naamini wangeweza kuweka hata mabenchi ya muda wakaamua kukausha. Halafu wakaweka kiingilio buku 10 😃😃😃 Au ni kulipiza kisasi kwa Simba kuishusha daraja Ruvu Shooting msimu uliopita?

Halafu siyo tu hamna sehemu ya kukaa, ule uzio ulivyo mrefu unatazama mpira kwa kupitia matundu ya senyenge
 
Back
Top Bottom