Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Tumewapa Jini Moja Liwasaidie Kupata Point Tatu Thidi Ya Geita Mtushukuru Watani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kwenye uzi wa takwimu Kibu alionekana kuzidiwa.Wale mnafuatilia stori ya majini. Muda ni saa ngapi?
Shindwaaaa kichwa kichafu....Tumewapa Jini Moja Liwasaidie Kupata Point Tatu Thidi Ya Geita Mtushukuru Watani.
Nimekugundua hujui kutaja jina la Fred hapo unajishaua eti kulwa...hahah uto ni uto...Vip lakin mbona ushindi wa shida sana,kwan Papaa Omary wa Njombe au Fredy Kulwa hawakucheza leo?
Mbeleko fc...yani tajiri yao ana hela za kufuga majini yanamtapikia hela za kugawa...Ila Walimwengu waacheni tu, Kuna mmoja Ka komenti hapo juu eti Katika Mechi 4 zilizopita
Yanga Kabebwa na Marefa mechi 2... Ya Kagera Sugar
na Prison...
wakati Simba Kanyongwa wazi wazi Mechi na Azam.
Yanga anaongoza Kubebwa mwaka huu.
Na nyie kwa mpira gani mlonao? Yani round hii mmeshinda kwa kubebwa...Kwa mpira huu bado mnawalaumu marefa
Unaweza ukadhani wana timu ya maanaNa nyie kwa mpira gani mlonao? Yani round hii mmeshinda kwa kubebwa...
Kumbe ni busta ya vijini vyao at least vinawakimbiza kimbiza ila round hii hawana maajabu...wawashukuru marefa
Tunawalaumu yanga(majini fc) kwa kuharibu ligi kuu, wanawatupia majini marefa, wachezaji n.k..Kwa mpira huu bado mnawalaumu marefa
Mtawalaumu sana marefa msimu huu.Na nyie kwa mpira gani mlonao? Yani round hii mmeshinda kwa kubebwa...
Ushindi wa shida sababu majini yanatumwa mfululizo na yangaVip lakin mbona ushindi wa shida sana,kwan Papaa Omary wa Njombe au Fredy Kulwa hawakucheza leo?
Tuliwatupia na nyie mkala tano,round ya pili tuna tuma platoon nzima.Tunawalaumu yanga(majini fc) kwa kuharibu ligi kuu, wanawatupia majini marefa, wachezaji n.k..
Tunalaumu kwny ukweliMtawalaumu sana marefa msimj huu.