FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

Asante mtani lilikuwa ni suala la muda tu, ila hatutakiwi kushangilia sana bado tuna safari ndefu, ikiwa tunastruggle hivi kupata kagoli kamoja tu
Mechi 4 zilizopita Utopolo mmeshinda ngapi?Na kwa margin ya goli ngapi?Pamoja na kubebwa mechi mbili ,moja na Kagera mlifungwa kama sio kubebwa. Na ya jana na Prisons mlibebwa kwa Prisons kunyimwa penalti ya wazi.
 
Mtani na mpaka mkifika kwenye hiyo safari yenu ndefu 😜 basi huku sisi tumeshatangaza ubingwa.
 
Mechi 4 zilizopita Utopolo mmeshinda ngapi?Na kwa margin ya goli ngapi?Pamoja na kubebwa mechi mbili ,moja na Kagera mlifungwa kama sio kubebwa. Na ya jana na Prisons mlibebwa kwa Prisons kunyimwa penalti ya wazi.
Soma comments kwa umakini mkuu
 
Mechi 4 zilizopita Utopolo mmeshinda ngapi?Na kwa margin ya goli ngapi?Pamoja na kubebwa mechi mbili ,moja na Kagera mlifungwa kama sio kubebwa. Na ya jana na Prisons mlibebwa kwa Prisons kunyimwa penalti ya wazi.
Hii comment niya mtu anae lia hadi kamasi ..polee sana mkuu
 
Back
Top Bottom