Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Stephane Ki anaujua sana mpira [emoji91]Mungu ampe nini Aziz Ki? Usajili bora kutokea soka la bongo.
Rahaaaaa tele kuwa Mwananchi.
Hili nalo ni swali!!!Kwa lipi?
Uzi ufungwe njoo... Kukutane Kule kwenye Uzi pendwa [emoji23][emoji23]Salamu wafikishiwe Waarabu
Kwa hii spirit waliotupa Ihefu kila atakaekaa mbele atajuta
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yule dogo wa pemba alikua anamfunga miguu huyu aziz ki bora hata kalivyoondokaMungu ampe nini Aziz Ki? Usajili bora kutokea soka la bongo.
Rahaaaaa tele kuwa Mwananchi.
Sasa wakifunguka si ndiyo wataruhusu mvua ya magoli!Kwa geita hawa wanaokaa apo nyuma kama mikia labd ingekua drooo
Mimi nakumbuka ulikata tamaa kabla hata ya mchezo kuanza. Ila mimi nimefurahi tulipoteza.Uzuri mimi siyo mnafiki. Tokea mwanzo nilishasema. Yanga hii ndiyo ninayoifahamu. Ile Yanga iliyocheza dhidi ya Ihefu nilishaitilia mashaka tangu mwanzo.
Ndo hivyo mzee nyota ya aziz akifukiwa ndo maana kila anachofanya kilikua kinaenda kushoto alafu yule dogo kila anachofanya kinamuendea vizuri mpk wachambuzi wakaanza kusema ile 400M tumepigwaKabisa kuna muda nilikua siamini uchawi lakini hili swala ndo likafanya niamini kumbe upo
Aahaaaa,Yanga ndo Kila kituIhefu juzi ilikua na mashabiki, leo inacheza na KMC hamna ata mtu anaeanzisha uzi. Pumbavu.
Uzuri mimi siyo mnafiki. Tokea mwanzo nilishasema. Yanga hii ndiyo ninayoifahamu. Ile Yanga iliyocheza dhidi ya Ihefu nilishaitilia mashaka tangu mwanzo.
Ihefu amewaponza wengine , kwa hasira ya sasa kila anaekuja ni kipigo tu hakuna namnaNabii gani anaongea uongo?
Kule Mbarari kapigwa kisha akaja kududanganya kuwa alipigwa viwili kwa bahati mbaya [emoji28]
Kwa nini tuendelee kumwamini?
Hafai kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Max kama hana demu aje nimpe mke wangu just for the weekend
Pumbavu San wewMax kama hana demu aje nimpe mke wangu just for the weekend