HakikaHii ndiyo Yanga ninayoifahamu.
Kwa geita hawa wanaokaa apo nyuma kama mikia labd ingekua droooKutangulia si kufika.
Kwa lipi?Hii ndiyo Yanga ninayoifahamu.
Pole sana.Kuna mchezaji anaitwa Taliq Seif, mwenye Rasta, jamaa amepwaya sana, nadhan amegusa mpira mara 3 tangu mpira uanze.
Na goli la kwanza la yanga kosa limeanzia kwake.
Hii ndiyo Yanga ninayoifahamu.
Kuna accountant akikusikia.Mungu ampe nini Aziz Ki? Usajili bora kutokea soka la bongo.
Rahaaaaa tele kuwa Mwananchi.
Hapa ni wapi?Kutangulia si kufika.
Uzuri mimi siyo mnafiki. Tokea mwanzo nilishasema. Yanga hii ndiyo ninayoifahamu. Ile Yanga iliyocheza dhidi ya Ihefu nilishaitilia mashaka tangu mwanzo.Msije kuikataa baadae
Labda draw ya kuhifadhi bangiGeita wasipoingia tamaa wanaweza kupata hata droo