FT: Gor Mahia 0-3 Al Ahly | CAF Champions League Qualification | Nyayo National Stadium | 15.09.2024

FT: Gor Mahia 0-3 Al Ahly | CAF Champions League Qualification | Nyayo National Stadium | 15.09.2024

Wanazuia bila mipango na wanashambulia bila mipango vile vile. Inaonekana Al Ahly wamemeona Gor hawana madhara ndiyo maana wanacheza tofauti na ilivyo zoeleka wakiwa ugenini.
 
Hawa fitna za kusini mwa jangwa la Sahara wameshazoea ni Dar TU ndio ngumu kwao
Gor wapuuzi....wewe hao gaints wa africa wanauzoefu wa kutosha. Wee kama huna timu huna timu tuu ata umuombe mungu hamna kitu
 
Gor wapuuzi....wewe hao gaints wa africa wanauzoefu wa kutosha. Wee kama huna timu huna timu tuu ata umuombe mungu hamna kitu
Then hao mafarao hawana pigo za kufunga magoli mengi.

Nimeshindwa kutazama Arsenal na Tottenham wanakiwasha zaidi.
 
Huwa nashangaa shabiki wa Simba au yanga akichukia matangazo kwenye jersey kisa anataka apendeze
Jersey ya Ahly imejaa matangazo hadi majina wameondoa
Hizi team huwezi kuendesha bila wadhamini jaza matangazo team ipate hela
 
Back
Top Bottom