M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Kwa mpira gani wapate ata goli?Yanga bado hajafunga hesabu, jamaa sio lazima wafunge goli mbili hata wakishinda goli moja tu inawatosha kuipeleka mechi kwenye mikwaju ya penati ambazo huwa hazina mwenyewe, Yanga wana advantage ila hawajafunga hesabu.