Yanga bado hajafunga hesabu, jamaa sio lazima wafunge goli mbili hata wakishinda goli moja tu inawatosha kuipeleka mechi kwenye mikwaju ya penati ambazo huwa hazina mwenyewe, Yanga wana advantage ila hawajafunga hesabu.
Bongo kama Kenya tu, tena KE wametuzidi mbali kisoka, vilabu vyetu vimejaza wachezaji kutoka nje na ndio kutwa nzima tunawapa promo. Wazawa wakiachwa wenyewe tunaanza kupigwa hamsa hamsa na vilabu vya Afrika magharibi ambavyo wachezaji wao wengi ni wazawa.