Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.
Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka kushambuliana
Dakika, 20 ngoma bado ngumu timu zote zinashambuliana kwa zamu
Dakika, 30 mechi imekuwa ya kasi sana lakini si Guinea wala Taifa Stars aliyepata goli.
Dakika, 40 Taifa Stars wamekuwa na utulivu katika kukaba ili bado utulivu eneo la mwisho unakosekana
Dakika 45 za kipindi cha kwanza Guinea 0- 0 Taifa Stars
Kipindi cha pili kimenza....