Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nikisikia hicho kibiti cha kuingilia nawaza mbali sanTaifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.
WametokajeRwanda leo Wamewakazia Nigeria
0-0Wametokaje
Nipe update kiongozi za game ya stars kwangu umeme umekatika muda huu
Na ana mawenge kweliLeo Bacca na Job watalala na viatu, ndugu yangu Shabalala leo awe mtulivu asipande hovyo hovyo, huwezi wa kupanda na kushuka kwa haraka kwa umri ule hana. Dogo Salim apunguze mawenge, kwani hiyo mijitu ya Magharibi ipo serious sana wanapo taka lao.
Free kick imeenda nje DK 3Nipe update kiongozi za game ya stars kwangu umeme umekatika muda huu
Umiliki kwa Stars sasaStars watulize mpira
Umiliki kwa Stars sasaStars watulize mpira