FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.

Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka kushambuliana

Dakika, 20 ngoma bado ngumu timu zote zinashambuliana kwa zamu

Dakika, 30 mechi imekuwa ya kasi sana lakini si Guinea wala Taifa Stars aliyepata goli.

Dakika, 40 Taifa Stars wamekuwa na utulivu katika kukaba ili bado utulivu eneo la mwisho unakosekana

Dakika 45 za kipindi cha kwanza Guinea 0- 0 Taifa Stars

Kipindi cha pili kimenza....
Ushindi wa Taifa stars Machadema yameumbuka.

Na Kwa taarifa yenu tuu tutamsifia Rais kama kawa kama dawa Ili mvimbe mashavu zaidi.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCjputePbo5/?igsh=eGN6OWQ0dmhqN3Q5
 
Back
Top Bottom