Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
NakaziaKumfananisha Feisal na de bruyne, ni sawa na kuija mbia mbingu.
Muda wote Lina kurudia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKumfananisha Feisal na de bruyne, ni sawa na kuija mbia mbingu.
Muda wote Lina kurudia
Utopolo leo.Labda bacca mtoe mwamnyeto hapo..
NdioUchawi huwa una viwango tofaut tofauti
kinachoniuma mimi watu wataacha kwa muda kuongelea maswala ya muhimu yanayoendelea nchi keshoHua nataman ipigwe Sana yan, maana ikishinda badala machawa waongee mpira wanamtukuza mama kizimkazi, inageuka kua timu ya CCM
Kiukweli Leo sitalala usingiz imeshinda moja ya timu NINAZOZICHUKIA zaidi hapa duniani
😂😂😂Sawa Mama Kubwa
🤩🤩🤩Sawa Mama Kubwa
Mkataba/makubaliano.Game Muhimu hawaonyeshi,
Kuna Game kati ya Burkina Faso vs Malawi.
Hawaonyeshi.
Siera Leone vs Zambia, hawaonyeshi.
Wanaonyesha upuuzi wao
Tunawaandama sana washambuliaji wetu na hasa Mzize. Lakini kijana anafanya mambo mengi makubwa uwanjani ambayo mshabiki kama wewe huwezi kuona. Pia fuatilia timu za Taifa kwenye hizi mechi hao mastraika wa Ulaya wanambwela tuu. Tuwatie moyo hawa akina Balua, Mzize, Salim watafika mbali wana kitu.1. Ibrahim Bacca ni beki mkatili na hazina kubwa sana katika Taifa hili
2. Feisal Salum Feitoto anaweza kucheza soka ulaya na akapambana na akina De Bruyne bila shaka yoyote ile
3. Mudathir Yahya amebadilika sana tangu aliposajiliwa Yanga
4. Yule Kachwele ni striker mzuri sana endapo ataaminiwa zaidi
5. Clement Mzize kama Yanga wanakataa kufanya biashara wakati uwezo wake ni wa kawaida wanamharibia maisha kwa sababu hana maajab yoyote
6. Kipa Ally Salim ndio kipa namba moja wa Stars kwa Sasa basi Simba washauriwe wasimweke benchi sana
7. Hemed Morroco na wenzake waheshimiwe kwani mchezo wa mpira sio rahisi kama tunavyodhania ndio maana mechi vs Ethiopia wengine walikaa kimya
8. Waziri Junior ni striker mzuri lakini hana meno
9. Edwin Balua ni kiungo mzuri lakini ashauriwe kuhusu dhana ya teamwork
10. Stars itafuzu Afcon kwa uwezo wa Allah Inshaallah.
Vitu serious havipewi airtime, kesho wataanza kumsifia kizimkazi kua kawekeza kwenye michezokinachoniuma mimi watu wataacha kwa muda kuongelea maswala ya muhimu yanayoendelea nchi kesho
siku nzima ni uchambuzi tu kila kona ya social media hapa tz
naunga mkono hoja yako kwa 100%
Bila huyo mwamba kuwepo pale nyuma tungekufa nyingi.Bacca amekuwa uchochoro wa Guinea leo..hafai hata first 11
ni aibu sana hii nchi yanguVitu serious havipewi airtime, kesho wataanza kumsifia kizimkazi kua kawekeza kwenye michezo
Kutojiamini ni kwako. Be positive. Timu ya taifa ni nzuri na mpaka sasa imeonyesha uwezo na itasonga mbele.Pamoja na kushinda ila wana ya kurekebisha, wakikutana na timu iliyo smart kidogo tunapigwa sana
Magoli ya kurujuanMagoli yetu ya kichawichawi tu
Uliona mbali sanaKuna dalili Taifa Stars wanaweza kufanya surprise kwa timu ya taifa la Guinea katika uwanja neutral mjini Yamoussoukro nchini Ivories Coast Africa ya Magharibi.
Haya badilisha:Guinea 1 Yanga 0
Tumeupiga mwingi