FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

1. Ibrahim Bacca ni beki mkatili na hazina kubwa sana katika Taifa hili
2. Feisal Salum Feitoto anaweza kucheza soka ulaya na akapambana na akina De Bruyne bila shaka yoyote ile
3. Mudathir Yahya amebadilika sana tangu aliposajiliwa Yanga
4. Yule Kachwele ni striker mzuri sana endapo ataaminiwa zaidi
5. Clement Mzize kama Yanga wanakataa kufanya biashara wakati uwezo wake ni wa kawaida wanamharibia maisha kwa sababu hana maajab yoyote
6. Kipa Ally Salim ndio kipa namba moja wa Stars kwa Sasa basi Simba washauriwe wasimweke benchi sana
7. Hemed Morroco na wenzake waheshimiwe kwani mchezo wa mpira sio rahisi kama tunavyodhania ndio maana mechi vs Ethiopia wengine walikaa kimya
8. Waziri Junior ni striker mzuri lakini hana meno
9. Edwin Balua ni kiungo mzuri lakini ashauriwe kuhusu dhana ya teamwork
10. Stars itafuzu Afcon kwa uwezo wa Allah Inshaallah.
 
1725994979292.png


Tumo na sisi; ila siku tukicheza na DRC, lazima tiumtupie Mayele majini asifunge.
 
Timu imeshnda kwa uwezo wa watu binafsi, tunawachzaj weng wazuli ila knachotutesa n mifumo ya huy kocha, anaamn sana kujilinda ndomana hta mzinze n kama beki t
 
Huwa nataman ipigwe sana yaani, maana ikishinda badala machawa waongee mpira wanamtukuza mama kizimkazi, inageuka kua timu ya CCM

Kiukweli Leo sitalala usingiz imeshinda moja ya timu NINAZOZICHUKIA zaidi hapa duniani
 
Hua nataman ipigwe Sana yan, maana ikishinda badala machawa waongee mpira wanamtukuza mama kizimkazi, inageuka kua timu ya CCM

Kiukweli Leo sitalala usingiz imeshinda moja ya timu NINAZOZICHUKIA zaidi hapa duniani
Ukiona habari njema inakuumiza ujue umekuwa.....
 
Mzee mpira ni zaidi ya matukio ya kufurahisha mara chache. Angalia jinsi ya upigaji pasi kati wa wachezaji wa Guinea na Tanzania. Pasi za Tz ni kama shuti kutuliza kazi kinoma. Bacca angeweza kupenya Ulaya vizuri tu tena kwenye top league kama tu angeenda mapema. Mzize wakati wake ndio huu, akichelewa tunamuweka kundi la kina Bacca. Feisal sijui itakuaje dirisha lijalo... hao wengine nisiwaongelee..
 
Back
Top Bottom