FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Mudathir Yahya is underestimated player, huyu jamaa ni zaidi ya fundi 🙌🙌🙌
 
Huko tulinde tu na kutumia counter attack , mabeki 5, Nondo,Job, Tshabalala, Baka na Mwaikenda , tukifunguka tumeliwa kichwa.

Uwezo wa kushindana na Guinea hatuna kama Ethiopia tu tuliwashindwa.

Hawa makocha wa ndondo wa tff ya hovyo washatucost hadi sasa, hii Afcon tukitoboa ni bahati tu timu uwezo haina.
Tanzania imenichania mkeka wangu nimeikosa laki 4 hivi hivi inaniuma😥😥😥😥
 
Back
Top Bottom