Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Waliocheza mbona hawajafunga la ushindiAcha ujinga. Hajacheza peke yake🤩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliocheza mbona hawajafunga la ushindiAcha ujinga. Hajacheza peke yake🤩
Mpira umeishaDk ya ngapi huko wadau
Wa YangaCoach Mzanzibari, magoli mawili ya wazanzibari
Safi sanaaaMpira umeisha
Hakika Bila wachezaji wa Yanga, hii leo tungepigwa 6Unampaisha Manara...! Huko aliko sasa hivi anacheka kwa Comments kama hizi...! Anasema kumbe hii mijitu ya Yanga mizuzu kweli..!
Ligi yetu imekua.Faida ya kuwa na wachezaji wengi wa kigeni .Tumeanza kuwa na Timu sasa
Tunaomba msimamo wa kundi
Wala shida yetu sio Beki hapo unaleta Ukolo.Sema na hyo guinea ni majanga tuu...hiyo beki ya Tanzania ingekutana na timu nyingine tungelia kilio cha mbwaaaa...