FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Tunapaswa kuwashukuru sana Wachezaji wa Timu ya Yanga kwa kucheza kwa uzalendo na kuzuia kufungwa kwa Timu ya Taifa

Hakika Mabeki wa Taifa Stars yaani Bakka, Mwamnyeto na Dickson Job wamefanya kazi kubwa sana
Hi ni upuuzi wa uelewa
 
Hatimaye kichwa cha Mwendawazimu kimepata nafuu!

Leo tuwapumzishe kidogo na hongera nyingi ziende kwa Mama samia kipenzi cha Watanzania kwa jitihada zake za kuwezesha ushindi!

hongera sana Taifa stars!

Tanzania daima!

au nasema uongo Lucas Mwashambwa?
😁😁😁
 
Back
Top Bottom