Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Uwanja unaitwa Houphet BouagnyAll the best team ya Taifaaa
Mungu Ibariki Afrika - Mungu Ibariki Tanzania
Nakazia kila la kheri GuineaLolote baya liwakute staz, wapigwe wapigike...
Kushindwa kwa staz ni kushindwa kwa CCM.
kuweni wazalendo jmnLolote baya liwakute staz, wapigwe wapigike...
Kushindwa kwa staz ni kushindwa kwa CCM.
Wangeshukia hata airport. Huko walikoshuka sijui naona itakuwa mbali na uwanja. Kwanini wasingesogea hata getini kwa bus. Huko Dimbani ni mbali sana.Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.
Ikiwa wao sio wazalendo iweje sie tuwe wazalendo?kuweni wazalendo jmn
Kila la heri kwa GuineaTaifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.