kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Yanga wamepata?Wamesawazisha
Wacha tui iwe hivyo...timu ya Taifa zamani ilikua inatia moyo sio sasa...Nasikia wamefungwa😆😆😆
1-1Ilinishangaza sana tangu mwanzoni kumchukua Ally Salim kama kipa wa Taifa kisa alibahatisha kuzuia penalty
Hamna kitu pale
1-1Ngoma bado mbichi..
usije ukajipasua nyonga mama nitalala na nani usiku wa leo..😂Nmeruka kama mwehuuu