spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
YeahYote kwa Yote, Tanzania ina jezi nzuri sana, Big Up kwa hili
Halirudi hiliii tujishikilieeeOle wenu lilirudi
Da zote hizo?Extra time 8'
East Africa tunatishaILoooo Tanzania 2
Kapiga mwanetu😁mudathiri lazima apige simu sasa..😂
Hujuma za wazi waziiiAdded 8. Hii ni hujuma
Nguvu zimeturudiaKapiga mwanetu😁
Cha wapi?Chuma
Hapa Baa watu wameshangilia balaa