econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Matokeo yakibaki hivi msimamo wa kundi utakuaje?
Taifa star atakuwa wa pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo yakibaki hivi msimamo wa kundi utakuaje?
Hapa nilipo tukikoswa koswa ni kelele, tukiwakosa kosa ni keleleHii timu ikifungwa kuna kama raha fulani hivi naipata..😂
Ukiziona live ni hatariiiYote kwa Yote, Tanzania ina jezi nzuri sana, Big Up kwa hili
Kwakweli kafanya kazi nzuri sanaUkiziona live ni hatariii
Designer ametishaa
ndiyo kilichobakiKwakweli kafanya kazi nzuri sana
Nani anaelewa mpira tunaocheza?Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.
Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka kushambuliana
Dakika, 20 ngoma bado ngumu timu zote zinashambuliana kwa zamu
Dakika, 30 mechi imekuwa ya kasi sana lakini si Guinea wala Taifa Stars aliyepata goli.
Dakika, 40 Taifa Stars wamekuwa na utulivu katika kukaba ili bado utulivu eneo la mwisho unakosekana
Dakika 45 za kipindi cha kwanza Guinea 0- 0 Taifa Stars
Kipindi cha pili kimenza....
Wameheshimisha NchiHapo mmetisha vijana wetu